Thursday, June 9, 2011

Maharusi wakifungua Muziki.

Maharusi wetu, Bw. Erick na Bi. Rose

Hapa Bi harusi naye akinyanyuliwa Juu na wadogo zake kuashiria Bye bye Mpendwa wetu

Hapa Bw Harusi akiwa amerejea Mikononi mwa Maids baada ya kurushwa juu Umbali wa Mita tatu angani kama ilivyokuwa kwa Kocha Wa Barcelona pale Wembley

Nice;

Kila mmoja akiwa na Tabasam la aina yake(Waooooo! Inapendeza kwa Kweli)

Dada wa Bi harusi walivyong'arisha shughuli nzima ya Mpenda Dada yao Bi. Rose

Dada/Wadogo wa Bi harusi Wakiwa na Nyuso za Furaha katika Picha ya Pamoja na Bwana Harusi.

Maharusi na Kaka mkubwa Matumaini Shayo katika Picha ya Pamoja

Maharusi wakipozi na baadhi ya Maids

Maharusi wakiwa na Kaka Yao Wilhard Nderimo

Wakiwa na Nyuso za Furaha ni Bw. na Bi. harusi Erick Shayo mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la Kristu Mfalme Mjini Moshi

Kila Mtu alipendaza kwa aina yake


Maids

Maids

Mkono wa Pongezi kwa Maharusi

Wazazi wa Bi. Harusi Kizaa Chema.