Mtandao huu ni wa kuhifadhi matukio Maalum yalojiri katika Shughuli na Sherehe Mbali Mbali zilizojiri hapa na pale. Haki zote zimehifadhiwa. Tupeane Tarifa za Picha na Matukio yetu yalojiri popote pale nasi tutazichapisha bila Ubaguzi.
Thursday, June 9, 2011
Wakiwa na Nyuso za Furaha ni Bw. na Bi. harusi Erick Shayo mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la Kristu Mfalme Mjini Moshi
No comments:
Post a Comment